T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Mmmh....Nilimaliza bhana hii simu ikaamua ku edit
Hili ndio jukwaa la wakubwa ninalolisikiaga?do maana mnaambiwa mlale
Hii mida ya wakubwa tu
Teh teh
Ndo maana nilikuwa sikuoni maana mimi nimekazana kutafuta sura ya mhenga mwenzangu....kumbe wewe ndo haka kavulana kalikovaa miwani hapa kibarazani? [emoji15] [emoji15] [emoji15]Utanikosaje sasa, mimi nipo hapa kibarazani..
Hizi lugha jamani wengine bado wadogo.....
Hapana mm huwa namaliza pamoja mkuu, mguu wangu mguu wakeMmmh....
Utakuwa unawahigi kumaliza wewe
Teh...Siri ya kitanda mkuu,
Teh teh
Kumbe kuna watoto bado hawajalala muda huu?do maana mnaambiwa mlale
Hii mida ya wakubwa tu
Teh teh
Nahis hili ni la wakubwa wenye akili timamuHili ndio jukwaa la wakubwa ninalolisikiaga?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Lol!!Ndo maana nilikuwa sikuoni maana mimi nimekazana kutafuta sura ya mhenga mwenzangu....kumbe wewe ndo haka kavulana kalikovaa miwani hapa kibarazani? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Teh...Hapana mm huwa namaliza pamoja mkuu, mguu wangu mguu wake
Au ulimaanisha kumaliza nn mkuu
Teh
Nishamtonya ila naona kama wewe ndo unamdanganya akusubiri, kwan mnaenda wapi mida hii?Kumbe kuna watoto bado hawajalala muda huu?
Ebu waambie wakakojoe walale,wasichelewe shule baadae [emoji12] [emoji12]
Ndiyo mkuuHili ndio jukwaa la wakubwa ninalolisikiaga?
Umesahau lile kopo ulilolificha uvunguni...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe kuna watoto bado hawajalala muda huu?
Ebu waambie wakakojoe walale,wasichelewe shule baadae [emoji12] [emoji12]
Basi mdogo wangu,kalale wacha dada yako niongee na wakubwa wenzangu [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Lol!!
Weka mbali na watoto
''That jukwaa is not reachable''Nahis hili ni la wakubwa wenye akili timamu
Hilo lingine nalisikiaga tu
Teh nikahis ulimaanisha safarTeh...
Nilimaanisha kumaliza kuandika na kusend mkuu
Kumbe wewe Thad ni mdadaBasi mdogo wangu,kalale wacha dada yako niongee na wakubwa wenzangu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Ndiyo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama unaogopa kutoka nje basi kojolea hilo hilo kopo,ila ukumbuke kumwaga na kulisafisha kabla ya kwenda shule, sawa?Umesahau lile kopo ulilolificha uvunguni...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hata silitaman''That jukwaa is not reachable''
Sauti ilisikika kutoka kwa member fulani....
Sitaki, na mimi napenda hadithi...Basi mdogo wangu,kalale wacha dada yako niongee na wakubwa wenzangu [emoji4] [emoji4] [emoji4]