JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ndo maana nilikuwa sikuoni maana mimi nimekazana kutafuta sura ya mhenga mwenzangu....kumbe wewe ndo haka kavulana kalikovaa miwani hapa kibarazani? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Lol!!
Weka mbali na watoto
 
Kumbe kuna watoto bado hawajalala muda huu?
Ebu waambie wakakojoe walale,wasichelewe shule baadae [emoji12] [emoji12]
Umesahau lile kopo ulilolificha uvunguni...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Umesahau lile kopo ulilolificha uvunguni...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama unaogopa kutoka nje basi kojolea hilo hilo kopo,ila ukumbuke kumwaga na kulisafisha kabla ya kwenda shule, sawa?
 
Back
Top Bottom