Jamani jamani......jje's kwanini hukuniambia kuwa nina mwonekano na haiba ya kiume? Mpaka nakuja kushangaliwa na watu namna hii? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Kumbe wewe Thad ni mdada
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ukiingia kule tutakusahau kabisa..Hata silitaman
Nahis kuna vigezo vya kuwa member kule na mm sijakizi vigezo
Nikifaulu nitaingia
Hapana sikumaanisha safari moja huanzisha nyingine [emoji2]Teh nikahis ulimaanisha safar
Mtoto kinganganiz weweeeSitaki, na mimi napenda hadithi...
Usijali dada yangu hata mimi nilidhani ni wa kiume....[emoji19] [emoji19]Jamani jamani......jje's kwanini hukuniambia kuwa nina mwonekano na haiba ya kiume? Mpaka nakuja kushangaliwa na watu namna hii? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Teh...Jamani jamani......jje's kwanini hukuniambia kuwa nina mwonekano na haiba ya kiume? Mpaka nakuja kushangaliwa na watu namna hii? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Teh nashindwa kujibu hili swali ni tataHapana sikumaanisha safari moja huanzisha nyingine [emoji2]
Na wewe ni mwoga wa kukojolea nje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haina shida Nleterewa Nganengo atakuleta kwangu maana naye ni mwanafunzi wangu japo yeye analipia..
Hivyo usimwambie kama wewe unasoma bure asije akakupoteza bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bwana weee sikujua kama ni mdogo wangu wa mwisho,sauti yake ilinilaghai...[emoji23] [emoji23]Nishamtonya ila naona kama wewe ndo unamdanganya akusubiri, kwan mnaenda wapi mida hii?
Basi sitaki kujaribu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ukiingia kule tutakusahau kabisa..
Rafiki yangu atanichukulia namba...mimi nitampa andaziMtoto kinganganiz weweee
Umeambiwa utachelewa shule, vzr kusikiliza
Teh
TehTeh nashindwa kujibu hili swali ni tata
Bora umegundua mapema, mbona kama hajalala?Bwana weee sikujua kama ni mdogo wangu wa mwisho,sauti yake ilinilaghai...[emoji23] [emoji23]
Sawa.Basi sitaki kujaribu
Umenikumbusha primary duuuhRafiki yangu atanichukulia namba...mimi nitampa andazi
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Chochote nitafanya ila yule ndugu yangu inabidi umfukuze ili unifundishe kwa madoido yote nielewe mama. [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mmmh! Mnamaanisha hiki ninachokielewa mimi au hii ni lugha gongana?Hapana mm huwa namaliza pamoja mkuu, mguu wangu mguu wake
Au ulimaanisha kumaliza nn mkuu
Teh
Teh...
Nilimaanisha kumaliza kuandika na kusend mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwana weee sikujua kama ni mdogo wangu wa mwisho,sauti yake ilinilaghai...[emoji23] [emoji23]
Likuwa anaambiwa nani?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]