Ya kale ni Dhahabu....[emoji19] [emoji19] [emoji19]Umenikumbusha primary duuuh
Wewe unaelewa nn kwanza maana duuhMmmh! Mnamaanisha hiki ninachokielewa mimi au hii ni lugha gongana?
Kbsa mimi mhenga mkuuYa kale ni Dhahabu....[emoji19] [emoji19] [emoji19]
Basi na wewe ni wa kale maana tittle....
Hatumaanishi unachokielewa wewe ThadMmmh! Mnamaanisha hiki ninachokielewa mimi au hii ni lugha gongana?
[emoji126] [emoji126] [emoji126] wacha niondoke hapa maana mwishowe nitaiharibu j3 yangu kwa hasira....Usijali dada yangu hata mimi nilidhani ni wa kiume....[emoji19] [emoji19]
[emoji115] [emoji115] [emoji115] ukiruka swali huoni unajipunguzia alama?Sawa.
Ilikuwakuwaje hadi ukawa Dhahabu member?
Kbsa mimi mhenga mkuu
Hahahahaha......[emoji126] [emoji126] [emoji126] wacha niondoke hapa maana mwishowe nitaiharibu j3 yangu kwa hasira....
Ila siwalaumu haya ndio madhara ya kurithi sura ya babu mzaa baba na umbo la mjomba wangu aliyekuwa baunsa wa magereza band...[emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji126] [emoji126] [emoji126] wacha niondoke hapa maana mwishowe nitaiharibu j3 yangu kwa hasira....
Ila siwalaumu haya ndio madhara ya kurithi sura ya babu mzaa baba na umbo la mjomba wangu aliyekuwa baunsa wa magereza band...[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Uwiiii mie mhenga mkuu[emoji115] [emoji115] [emoji115] ukiruka swali huoni unajipunguzia alama?
Usiku mwema.Kwa hii dakika moja ilosalia niwakie wote uck mwema
Namuona my kaka katia timu nilitamani niseme nae ila muda nao umenitenga
Najua fika kaja kwa mwanafunz kumfundisha
Kaka umekumbuka kuja na Bakora?
Uwiiii mie mhenga mkuu[emoji115] [emoji115] [emoji115] ukiruka swali huoni unajipunguzia alama?
Lala unono,Kwa hii dakika moja ilosalia niwakie wote uck mwema
Namuona my kaka katia timu nilitamani niseme nae ila muda nao umenitenga
Najua fika kaja kwa mwanafunz kumfundisha
Kaka umekumbuka kuja na Bakora?
Tx mkuuUsiku mwema.
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa chochote [emoji85] [emoji85]Hatumaanishi unachokielewa wewe Thad
Tehteh...kwani wewe umeelewa nini?
Hongera yako.Uwiiii mie mhenga mkuu
Tuna tuzo tunapewa tukiwa wahenga wenye nidhamu. Kwanza sijawah lamba ban
Teh nalala mkuu byee
Najua through masomo utamkabidhi funguoLala unono,
mkabidhi funguo kaka yako maana hata mimi nalala zangu,Mwifa pia anatakiwa alale ili akue [emoji23] [emoji23]
TehHongera yako.
Mimi Ban ni kama chai
Sijaelewa chochote,hebu nieleweshe [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wewe unaelewa nn kwanza maana duuh
Mimi siku hizi nakua kurudi chini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lala unono,
mkabidhi funguo kaka yako maana hata mimi nalala zangu,Mwifa pia anatakiwa alale ili akue [emoji23] [emoji23]