JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usijali dada yangu hata mimi nilidhani ni wa kiume....[emoji19] [emoji19]
[emoji126] [emoji126] [emoji126] wacha niondoke hapa maana mwishowe nitaiharibu j3 yangu kwa hasira....
Ila siwalaumu haya ndio madhara ya kurithi sura ya babu mzaa baba na umbo la mjomba wangu aliyekuwa baunsa wa magereza band...[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chura umerithi ya nani?
 
Kwa hii dakika moja ilosalia niwakie wote uck mwema
Namuona my kaka katia timu nilitamani niseme nae ila muda nao umenitenga
Najua fika kaja kwa mwanafunz kumfundisha
Kaka umekumbuka kuja na Bakora?
Lala unono,
mkabidhi funguo kaka yako maana hata mimi nalala zangu,Mwifa pia anatakiwa alale ili akue [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom