Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Kwakweli hata sijui, maana hata keybodi siioni vyema nabahatisha tu[emoji40] [emoji125]A
Likuwa anaambiwa nani?
Mbona moyo umenipasuka paaaa
Tangu lini baunsa akawa na chura [emoji35] [emoji35][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chura umerithi ya nani?
Na ungependa kuelewa chochote Thad?Kwa kweli nimeshindwa kuelewa chochote [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119][emoji126] [emoji126] [emoji126] wacha niondoke hapa maana mwishowe nitaiharibu j3 yangu kwa hasira....
Ila siwalaumu haya ndio madhara ya kurithi sura ya babu mzaa baba na umbo la mjomba wangu aliyekuwa baunsa wa magereza band...[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Bora tu ukalale upumzishe hayo macho sasaKwakweli hata sijui, maana hata keybodi siioni vyema nabahatisha tu[emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tangu lini baunsa akawa na chura [emoji35] [emoji35]
Itabidi unambie siri ya urembo wako wa kutokulamba ban [emoji12] [emoji12] [emoji12]Uwiiii mie mhenga mkuu
Tuna tuzo tunapewa tukiwa wahenga wenye nidhamu. Kwanza sijawah lamba ban
Teh nalala mkuu byee
Punguza utukutu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera yako.
Mimi Ban ni kama chai
Akisema natafuta funguo nyingine halafu niwe mpole[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] utamu wa makinkia si mchezoItabidi unambie siri ya urembo wako wa kutokulamba ban [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hujagi kwenye jukwaa la Makinikia ndio maana hupati ngumi za modsPunguza utukutu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha bakora huwa naiacha mlangoni nikiingia darasani mpaka muda wa kutoka ndo naondoka nayo[emoji40]Kwa hii dakika moja ilosalia niwakie wote uck mwema
Namuona my kaka katia timu nilitamani niseme nae ila muda nao umenitenga
Najua fika kaja kwa mwanafunz kumfundisha
Kaka umekumbuka kuja na Bakora?
[emoji24] [emoji24] [emoji24] mwalimu wangu Nleterewa Nganengo..kwani ulinifundisha huu mwandiko wa kiume ? [emoji134] [emoji134]Teh...
Mwandiko wako ni kama wa mvulana/mwanaume vile.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Lala unono,
mkabidhi funguo kaka yako maana hata mimi nalala zangu,Mwifa pia anatakiwa alale ili akue [emoji23] [emoji23]
Kwanini sasa umesoma yasiyokuhusu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hajaniambia
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji126] [emoji126] [emoji126]A
Likuwa anaambiwa nani?
Mbona moyo umenipasuka paaaa
Na kweli, ngoja nimalizie balimi yangu, ndo niondoke kulalaBora tu ukalale upumzishe hayo macho sasa
Ndio,nieleweshe....Na ungependa kuelewa chochote Thad?
Usiku mwema komredi, ukiamka asubuhi msalimie aliyekupeleka kwa kitanda.Usiku mwema wote.
Mtoto ngoja alale kwenye kochi kwanza kabla hajapelekwa kitandani
Usinicheke mkuu,nionee huruma mwenzio maana wahenga walisema hujafa hujaumbika...[emoji134] [emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]