JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji126] [emoji126] [emoji126] wacha niondoke hapa maana mwishowe nitaiharibu j3 yangu kwa hasira....
Ila siwalaumu haya ndio madhara ya kurithi sura ya babu mzaa baba na umbo la mjomba wangu aliyekuwa baunsa wa magereza band...[emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Kwa hii dakika moja ilosalia niwakie wote uck mwema
Namuona my kaka katia timu nilitamani niseme nae ila muda nao umenitenga
Najua fika kaja kwa mwanafunz kumfundisha
Kaka umekumbuka kuja na Bakora?
Hahaha bakora huwa naiacha mlangoni nikiingia darasani mpaka muda wa kutoka ndo naondoka nayo[emoji40]
Huyu ticha akili zake anazijua mwenyewe[emoji125]
 
Back
Top Bottom