Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Nafikiri umeshaona komredi ni mwanafunzi wa aina gani niliyenae hapo ni mwendo wa bakora na kichura chura ndo atakuelewa[emoji40] [emoji125]Najua unataka ukaibie jibu huko, ndio uje ufanye!
Salama komredi, karibu ufunguo uko chini ya jiwe utatusaidia kufunga geti kwa usaidizi tukuka wa bundi mrembo baunsa Thad.
Sawa.Usisahau tena [emoji18] [emoji18]
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji134] [emoji134] [emoji135]Nafikiri umeshaona komredi ni mwanafunzi wa aina gani niliyenae hapo ni mwendo wa bakora na kichura chura ndo atakuelewa[emoji40] [emoji125]
Amen, huwa nakuombea hata bila kunikumbusha (very siriaz)Ibnur!
Tafadhali usisahau kuniombea (siriaz)
Kweli nimeanza kugundua hiloNafikiri umeshaona komredi ni mwanafunzi wa aina gani niliyenae hapo ni mwendo wa bakora na kichura chura ndo atakuelewa[emoji40] [emoji125]
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Najua unataka ukaibie jibu huko, ndio uje ufanye!
Hao watakuwa wahenga sampuli za dr.shika au wale wa jaza ujazwe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona wahenga wako wanasema hakuna baunsa asiye na chura?
Hiyo chambo kusaidiwa ni haraka sana[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hahaha karibu, mkuu sie wenye ndoa za umbali mrefu hili jukwaa linatusaidia sana kutokuchepuka.Hahaaaaa Ww na Thad napendaga tustory twenu nakujaga kutusoma tu..
Mungu aonaye sirini akubariki kwa hili! [emoji120] [emoji120]Amen, huwa nakuombea hata bila kunikumbusha (very siriaz)
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji134] [emoji134] [emoji135]
Bwana eee baki na mwanafunzi wako jje's mi sitaki uwe mwl wangu....unafundisha vitu vigumu ambavyo mwl.wangu hajanizoeza [emoji144] [emoji144] [emoji144]Sawa.
Ila chura ni muhimu ujue.
Bila chura jaribio la Dissection somo la Biology, unafeli nje nje!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao watakuwa wahenga sampuli za dr.shika au wale wa jaza ujazwe
[emoji15] [emoji15] Ati nini? Ndoa za umbali mrefu ndo zipi hizo?Hahaha karibu, mkuu sie wenye ndoa za umbali mrefu hili jukwaa linatusaidia sana kutokuchepuka.
Hahaha, wahenga wako walisema;- Huwezi ukaijua thamani ya kitu mpaka ukipoteze[emoji125] [emoji12]Bwana eee baki na mwanafunzi wako jje's mi sitaki uwe mwl wangu....unafundisha vitu vigumu ambavyo mwl.wangu hajanizoeza [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Hahaha, jitahidi kesho uwahi darasani ntakupa jibu lake[emoji40] [emoji125][emoji15] [emoji15] Ati nini? Ndoa za umbali mrefu ndo zipi hizo?
AiseeHahaha karibu, mkuu sie wenye ndoa za umbali mrefu hili jukwaa linatusaidia sana kutokuchepuka.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Bwana eee baki na mwanafunzi wako jje's mi sitaki uwe mwl wangu....unafundisha vitu vigumu ambavyo mwl.wangu hajanizoeza [emoji144] [emoji144] [emoji144]