JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nadhani sio jambo la kufanya Kwa haraka, unahitaji muda na nafasi. Bila kusahau Elimu mahususi ya namna ya kufanya hiyo meditation..

Binafsi sijawahi, I just pray normal
tulikua tunafundishwa na kipindi kabisa alfajiri sana secondary huruma girls na masister ila sisi wengine tulikua tunaona sehemu ya kumalizia usingizi tu 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom