To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣 tatizo Kichwa KichafuNotification Yako Imenirudisha Hapa Halafu We Unakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 tatizo Kichwa KichafuNotification Yako Imenirudisha Hapa Halafu We Unakimbia
Umeme ulikatika Profesa Jobless sa mi ningefanyaje 🤣 🤣 🤣 🤣 we mwenyewe unajua
Kuibiwa kwenye hiyo biashara kupo sana, mwenyewe nisingekuwa nimebanwa na shughuli za Kilimo ningeingia mwenyewe kusimamia......Mzee acha uvivu😁, nilionana juzi na mmiliki wa Congolese lodge.
Ana Lia kuwa ana ibiwa Sana, we lala sasa
Usingizi hauzuiliki..........ila umepoteza skills muhimu sana, pengine ungekuwa unanifundisha na Mimi Babu yako namna ya Ku-meditate saivi 🤗tulikua tunafundishwa na kipindi kabisa alfajiri sana secondary huruma girls na masister ila sisi wengine tulikua tunaona sehemu ya kumalizia usingizi tu 🤣 🤣
Bro we una hisi mi napenda movie Sana??, nilikuwa naangalia documentary fulani ya wachina.Big vp! Ushamaliza kuangalia movie?
Haha, habari za asubui mkubwa.Hahahahaha
Hamna Mlinzi hapa😁, Kuna konokono Alie changamka🤣😀Umeme ulikatika Profesa Jobless sa mi ningefanyaje 🤣 🤣 🤣 🤣 we mwenyewe unajua
Salama kabisa MkuuHaha, habari za asubui mkubwa.
Kwan kupenda kuangalia movie ni jambo la ajabu?Bro we una hisi mi napenda movie Sana??, nilikuwa naangalia documentary fulani ya wachina.
Kuhusu ka industry production fulani
Nina starehe nyingi nazo ni kula, kuangalia movie, kucheza game na kusoma vitabu.Kwan kupenda kuangalia movie ni jambo la ajabu?
🤣🤣🤣wacha wee🥴Yaani unachati ikiwa ndani ya blanketi?!! Wewe jasiri sana. Au nimesoma vibaya?
Aiseeee! Kwel tumetofautina 🤣binafsi usipotaja Ile amri sijui ya ngp naona kama hujataja starehe kbsNina starehe nyingi nazo ni kula, kuangalia movie, kucheza game na kusoma vitabu.
Ile Ina leta distraction Kaka, huwezi focus kikamilifu bhana.Aiseeee! Kwel tumetofautina 🤣binafsi usipotaja Ile amri sijui ya ngp naona kama hujataja starehe kbs
No no no noo Sir Jobless shida ni umeme🤣🤣🤣🤣🤣 kwanza unalaana zetu umetufungia selifikaHamna Mlinzi hapa😁, Kuna konokono Alie changamka🤣😀
Mi nili funguka tu🤔, dah acha Nile kiporo changu.No no no noo Sir Jobless shida ni umeme🤣🤣🤣🤣🤣 kwanza unalaana zetu umetufungia selifika
kumbe maisha mazuri ulisaza jana 🤣 🤣 🤣Mi nili funguka tu🤔, dah acha Nile kiporo changu.
Kiporo Cha viazi vitamu😁🤣kumbe maisha mazuri ulisaza jana 🤣 🤣 🤣
Unakosa mengi sheikh! Yaan usote mwezi mzima afu uenjoy kwa kula na kusoma kitabu?Ile Ina leta distraction Kaka, huwezi focus kikamilifu bhana.
And huwezi kujiita mile or risk stepper, akati una yumbishwa na kichwa Cha chini🤣 Mpaji Mungu
Dah mi nikila, Soma kitabu, cheki movie, naridhika kiroho safi.Unakosa mengi sheikh! Yaan usote mwezi mzima afu uenjoy kwa kula na kusoma kitabu?
18<nikila, Soma kitabu, cheki movie, naridhika kiroho safi.