JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

tulikua tunafundishwa na kipindi kabisa alfajiri sana secondary huruma girls na masister ila sisi wengine tulikua tunaona sehemu ya kumalizia usingizi tu 🤣 🤣
Usingizi hauzuiliki..........ila umepoteza skills muhimu sana, pengine ungekuwa unanifundisha na Mimi Babu yako namna ya Ku-meditate saivi 🤗

Wanasema better late than never, ukiamua hata saivi utaweza
 
Back
Top Bottom