I missed you Zulehkha. Hope you're doing fine, aren't you.?Hapana nipo na roho mpendwa
Ilikuwa poa sana, ni moja kati ya weekends chache nilizozifurahia kwa mwaka huuWeekend Imeisha salama. Vip wewe ndugu?
Watakuwa wamelala mkuu,si unajua tena mambo ya weekendWatoto wazur wa Jf mbona siwaoni mitaa hii au ndio wamelala?
Vp,pana mbuzi hapo? [emoji39] [emoji39]Haya haya hapa Mererani kaza moyo a.k.a kwa mdava ndo nilipo muda huu, nani yupo karibuuuuu tujumuike pamoja.?
Ni vizuri aisee. Kula nchi siku moja moja sio mbayaIlikuwa poa sana, ni moja kati ya weekends chache nilizozifurahia kwa mwaka huu
Haha [emoji2] [emoji2] hakuna ila bia njoo unyweeeVp,pana mbuzi hapo? [emoji39] [emoji39]
Kweli kabisa,hizi shida sio za kuendekeza wawezakufa bila kuonja utamu wa dunia [emoji4] [emoji4]Ni vizuri aisee. Kula nchi siku moja moja sio mbaya
Bia bila nyama ni sawa na chai ya mkono mmoja....kunywa tu kiongoziHaha [emoji2] [emoji2] hakuna ila bia njoo unyweee
Yani ni hivi shida zina zeesha na kuongeza idadi ya vichaaKweli kabisa,hizi shida sio za kuendekeza wawezakufa bila kuonja utamu wa dunia [emoji4] [emoji4]
Mwamba sie ndio tunamalizia ngumuuuu kumeza hapa kwa mama muuza na manyunyu kwa mbali huku kwetu kiembe mbuzHaya haya hapa Mererani kaza moyo a.k.a kwa mdava ndo nilipo muda huu, nani yupo karibuuuuu tujumuike pamoja.?
Ni weekends chache kuelekea mwisho wa mwaka. If you don't enjoy them wadhani lini tena utazifurahia kabla ya mwaka huu kuisha.?Ilikuwa poa sana, ni moja kati ya weekends chache nilizozifurahia kwa mwaka huu
Magari yamelemewa mkuu cunaju pakipambazuka kila m2 anaspeed ya kutafuta mbesaiWatakuwa wamelala mkuu,si unajua tena mambo ya weekend
Nchi umelia wapi mkuuBia bila nyama ni sawa na chai ya mkono mmoja....kunywa tu kiongozi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli shida mbayaYani ni hivi shida zina zeesha na kuongeza idadi ya vichaa
Nyama inanoga mchana kwa huku[emoji238] [emoji238] [emoji243] jioni ni biereee kwenda mbeleBia bila nyama ni sawa na chai ya mkono mmoja....kunywa tu kiongozi
Ngumu kumeza....huu ni msamiati mpya kwanguMwamba sie ndio tunamalizia ngumuuuu kumeza hapa kwa mama muuza na manyunyu kwa mbali huku kwetu kiembe mbuz
Aisee [emoji39] [emoji39] [emoji39] kweli mnafaidiNyama inanoga mchana kwa huku[emoji238] [emoji238] [emoji243] jioni ni biereee kwenda mbele