JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haya haya hapa Mererani kaza moyo a.k.a kwa mdava ndo nilipo muda huu, nani yupo karibuuuuu tujumuike pamoja.?
Mwamba sie ndio tunamalizia ngumuuuu kumeza hapa kwa mama muuza na manyunyu kwa mbali huku kwetu kiembe mbuz
 
Ilikuwa poa sana, ni moja kati ya weekends chache nilizozifurahia kwa mwaka huu
Ni weekends chache kuelekea mwisho wa mwaka. If you don't enjoy them wadhani lini tena utazifurahia kabla ya mwaka huu kuisha.?
 
Back
Top Bottom