JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Japo sio kila kikao cha kwenye starehe huondoa stress....sometimes ni kujiongezea stress tu
Ni kweli ila kwa wanywaji tunajua ni jinsi gani tunaondoa streses aah[emoji4] [emoji4]
 
Nleterewa Nganengo
Neybright
Kichwa Kichafu
Maserati
jje's
Manga ML
No Escape
Inna
Mwifwa
Joseverest
Na wengineo.....
Njooni tusherehekee uhuru wa Tanganyika yetu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi kumbe tuko huru, au me ndo sijui maana ya Uhuru. Nimekuhamu sana mwanafunzi wangu mtukutu.[emoji39] [emoji125]
 
Back
Top Bottom