JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aman iwe nanyi wakuu

Hii ni mida ya wanga, mida hii ni mizur sana aisee

Wachawi kwa sasa ndo wanafanya yao
vibaka kwa sasa ndo wametega
Wasomi kwa sasa ndo wanasoma na kubukua
Wanandoa kwa sasa ndo wanagegedana.
Majambaz kwa sasa ndo wanapanga mipango yao
Masodier kwa sasa ndo wako lindo

Karibu sana wewe kwa sasa unafanya nini?
Ikifika mida ya wanga hufanyaga kitu gan?

Njoo tupige story japo tuisukume hii night kali

LONDON BABY
 
time hizi napanga nikawangie wapi
 
Natuma salamu kwa
1. Neybright na baby wake Joseverest

2. jje's na kipenzi chake Kichwa Kichafu

3. Maserati na baba chanja wake Manga ML

4. No Escape na bundi mzoefu alibakari

5. Walimu wangu Nleterewa Nganengo na Mwifwa

UJUMBE: Heri kelele za adui kuliko ukimya wa rafiki [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom