Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Umeadimika sana kiogozi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeadimika sana kiogozi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ulipigwa bakora ngapi mpaka kufurahi kiasi hicho?Hakika mchagua jembe si mkulima,leo nafsi yangu imefurahika vya kutosha
Na bado kiongozi mpaka unihurumieUmeadimika sana kiogozi
Asimame kwenye paa la nyumba usiku wa manane,hakika atauoa tu wivuHivi mtu akitaka kuona wivu asimame upande gani?
Duh! Umewaza ndivyo sivyo aiseeUlipigwa bakora ngapi mpaka kufurahi kiasi hicho?
Kwema best! Za tangu juzi?
Fresh ndugu. Jana ukaingia mitiniKwema best! Za tangu juzi?
Uchovu best,kutwa ni kiguu na njia hivyo kufikia mida kama hii nakuwa hoi bin taaban...ni vile tu nawaham watu wangu ndo maana najikaza siku mojamoja kuwasubiria
Pole sana. Ndio hivyo maisha ni mapambanoUchovu best,kutwa ni kiguu na njia hivyo kufikia mida kama hii nakuwa hoi bin taaban...ni vile tu nawaham watu wangu ndo maana najikaza siku mojamoja kuwasubiria
KabisaPole sana. Ndio hivyo maisha ni mapambano
Usiku mwema. Uwe na siku njemaKabisa