JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

😂😂Kwan kaachwa mbona hakuniamvia nimpe mbinu
Kaachwa na maneno ya kashfa juu,nilimuonya hakusikia...huoni siku hizi hata nyuzi za mahaba hafungui,comments zake za maneno machafu kwa watu? Yaan mkorofi mkorofi.

Hapo mbinu zitagonga mwamba kwa huyo bwana mdogo, cha kufanya tukamuombee msamaha akili yake irudi kwenye hali ya kawaida maana atakonda hadi moyo.
🤣
 
Bro hivi wewe wa kuni kandia Leo hii, yaani una u da fake stories ili u trend ehh🤔.

Aisee Mwaka huu nine yatimba, bully pig weee🤓
 
Aliyekaribu na huyu kijana amfunge kamba tafadhali,

Anapoelekea ataingia barabarani bila nguo akate viuno,kuachwa na umpendaye kubaya sana.
😅
We mwehu kweli, mi niachwe na nani??, kwa ujeuri upi walio nao🤓🤣.

Bro siku fichi labda Mimi ndo nimu ache Mtu, am very competitive Kaka.
 
We mwehu kweli, mi niachwe na nani??, kwa ujeuri upi walio nao🤓🤣.

Bro siku fichi labda Mimi ndo nimu ache Mtu, am very competitive Kaka.
Unyang'anywe kifaa unachotumia JF maana huchelewi kufungua ID ya kike na kujiliwaza,upweke mbaya sana.

SHEMEJI TUNAKUOMBA URUDI,upande wa kiumeni tunateseka na ndugu yetu..umeme mwingi unaenda kwenye ubongo.
 
Back
Top Bottom