Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Zulu man brother can't you leave me, Nikae kwa amani bila ya kuni takiwa kenge zako🤓🤣🤒I'D ya yule binti nikumbushe herufi 2 za mwanzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zulu man brother can't you leave me, Nikae kwa amani bila ya kuni takiwa kenge zako🤓🤣🤒I'D ya yule binti nikumbushe herufi 2 za mwanzo.
Unyang'anywe kifaa unachotumia JF maana huchelewi kufungua ID ya kike na kujiliwaza,upweke mbaya sana.
SHEMEJI TUNAKUOMBA URUDI,upande wa kiumeni tunateseka na ndugu yetu..umeme mwingi unaenda kwenye ubongo.
Utaweza kuishi mkoani? Kama umeona chupa za chai kwenye picha basi utajua ni mikoa gani yenye baridi nipoT
Upeane connection Mkuu kama ipo.
Popote kambi mkuu. 💪Utaweza kuishi mkoani? Kama umeona chupa za chai kwenye picha basi utajua ni mikoa gani yenye baridi nipo
Saw a mkuu kuna kiwanda kingine kinajengwa huku huku wakimaliza nakucheki ila itabidi uzoee makelele pia maana hawa ni wachina.Popote kambi mkuu. 💪
Mpaka wajenge Wanae watakuwa wameshakufa njaaSaw a mkuu kuna kiwanda kingine kinajengwa huku huku wakimaliza nakucheki ila itabidi uzoee makelele pia maana hawa ni wachina.
Mpaka wajenge Wanae watakuwa wameshakufa njaa
Ok poa mkuuWanamalizia mwezi wa 5, wasita kinaanza production
Nime fanya kazi na wachina nawajua hao MkuuSaw a mkuu kuna kiwanda kingine kinajengwa huku huku wakimaliza nakucheki ila itabidi uzoee makelele pia maana hawa ni wachina.
Hapana sipendelei tu🤣🤣😊
Waogopa kufa au
[emoji1534][emoji1534][emoji1534]Kichwa kichafu tunakuaga nae lindo kule Jukwaa la michezo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa Kichafu kawa dalali [emoji23], ana lala Sana siku hizi[emoji1].
Mimi kulala ni maKosa kwangu, SI unajua ma Jobless tuna mambo mengi
[emoji1534]2:37.....Mmojawapo ni mfanyabiashara mwenye akili Tele mwingine ni dirty ndonga.....hawalali hawa jamaa ukiwaiga lazima udondoshe simu usingizini [emoji3]
00:51 I report and depart
Acha kuvimba bichwa 😀😂, siku hizi Ume kuwa muuza duka, una lala Sana🤣