To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Umesahau kuwa ulichoma mkuuWazee wazee, nani kavaa gwanda langu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kuwa ulichoma mkuuWazee wazee, nani kavaa gwanda langu?
We ndo mlinzi mkuu
Mfalme ni Mmoja tu, wengine watulize mbwembwe 🤓We ndo mlinzi mkuu
We ndo doct wa zam
Yan we ndo ruban wa usiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
May you rot in hell, kuku wee🤓Nafurahi kukuona umepata sehemu ya kupunguza mawazo kijana,safi kabisa naona maendeleo ya afya mazuri.
muda ni wakuchuka silaha tu kujiandaa na ulinziMuda bado
Sawa mkuumuda ni wakuchuka silaha tu kujiandaa na ulinzi
🤣 🤣 🤣 sasa we kababa/kamama endelea kubulu huo mdomo.TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Silaha wanaanza kufoleni saa tano kamili.
Ahsanteni.
Leo lindoni hatutaki mapuuza. Mnaniona Shakira?🤣 🤣 🤣 sasa we kababa/kamama endelea kubulu huo mdomo.
Bado dk 1TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Silaha wanaanza kufoleni saa tano kamili.
Ahsanteni.
23:01Bado dk 1
Tumbo linaniuma kweli,nimekula udongo23:01
Pole sana. Umetumia dawa?Tumbo linaniuma kweli,nimekula udongo