Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Oooh safi sana..Mi nimeamka salama ndugu...ndiyo nataka nikaoge njiandae
😊😂😂 Siumwi malaria mkuu Ni kuvunjika 😊😊😊 muda mwingi nipo Bed so Kuna muda nakua Sina usingizi.........Mgonjwa una zurura ehh😄
Vita imana by farre gola 😊😊 ngoma ipo powaa..Kabisa kaka namsikiliza fally ipupa hapa mzee wa Asoccie
Pole sana😊😂😂 Siumwi malaria mkuu Ni kuvunjika 😊😊😊 muda mwingi nipo Bed so Kuna muda nakua Sina usingizi.........
Ndio nimeanza mazoezi ya kukanyagia mguu
Usinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilivamia kambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiihahaha sawa kizurure[emoji23][emoji23][emoji23]
Kausha damu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake kutulia na ndoa zao siyo kwamba hawawezi...tatizo vikoba...Vikoba vinamaliza ndoa za watu
Uwe unakuja usiku wa manane sweetheartUsinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nakuaga na ugonjwa wa kukosa usingizi hii hunitokea zaidi kipindi cha aprill - juneMacho mekundu mno ni ngumu kupata usingizi
Tatizo wa kukupa usingizi unawakimbiza....poleHuwa nakuaga na ugonjwa wa kukosa usingizi hii hunitokea zaidi kipindi cha aprill - june
Hahahahaha...Rafiki hili ni tatizo halihusiani kabisa na hayo usemayoTatizo wa kukupa usingizi unawakimbiza....pole
🤣🤣🤣Hahahahaha...Rafiki hili ni tatizo halihusiani kabisa na hayo usemayo
Hahahahaha
Nimekuelewa pole sanaHahahahaha...Rafiki hili ni tatizo halihusiani kabisa na hayo usemayo
Hahahahaha...ahsanteNimekuelewa pole sana
Jitahidi uwe unapumzika muda MwingineHahahahaha...ahsante
Kupumzikaje labdaJitahidi uwe unapumzika muda Mwingine
Unajipa muda bila kushika simu unalala sanaKupumzikaje labda
Hahahahaha..nalala sana tu..hapa yenyewe natafuta lodge nilale kdgUnajipa muda bila kushika simu unalala sana