JamiiForums Usiku wa manane

He talks a lot of shit, ili kupata attention.
Ila I swear siku akisema face to face, nampoteza kudadadeki
Kua mpole mkuu sometimes tunabishana na watoto wetu, wazazi wetu. Humu kama ilivyo katika jamii ya nje tunatofautiana uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo. Msamehe yaishe
 
Kua mpole mkuu sometimes tunabishana na watoto wetu, wazazi wetu. Humu kama ilivyo katika jamii ya nje tunatofautiana uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo. Msamehe yaishe
Kaka hivi mi na wewe si watu wa karibu Humu, siku uni ambie ni walk my own way.

Halafu nianze kuongea ujinga, na kuaminisha upuuzi juu yako.
Uta fikiri Nini juu ya mtu ka huyo, akati una jua kabisa we aren't on the same league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…