Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Kua mpole mkuu sometimes tunabishana na watoto wetu, wazazi wetu. Humu kama ilivyo katika jamii ya nje tunatofautiana uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo. Msamehe yaisheHe talks a lot of shit, ili kupata attention.
Ila I swear siku akisema face to face, nampoteza kudadadeki