JamiiForums Usiku wa manane

Hapa bila kujiongeza nitaachwa ngoja niwasiliane kijijini nimpate mtaalam arudishe penzi letu

nimekuvumilia mnooo saiv nimechoka,, huu mzigo nautua kabisa sitaki tena[emoji24],, japo naumia moyo ila sina namna nend kwa umpendae ambae unamuwaza na kumuota kila siku
 
Hamna Cha kumpoteza, mbona ma black wengine wako poa.

Huyo human trafficking case ime mponza, Ina semekana ana uza watu na viungo pia.

Tetesi za kufanya MAUAJI zime mkost, sema kakimbia aisee, hela ime msaidia.

Maana asinge kuwa na private jet, au pia kumegewa taarifa ya kushikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…