Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Enjoy🎵my dear mim na huyo shadow tumebreak-up moyo wake upo kwa da kidoti, nilikua naforce tu kuwa kweny moyo wake ila ukweli ni kwamba sipendwi,, saiv nipo singo nainjoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enjoy🎵my dear mim na huyo shadow tumebreak-up moyo wake upo kwa da kidoti, nilikua naforce tu kuwa kweny moyo wake ila ukweli ni kwamba sipendwi,, saiv nipo singo nainjoi
Hapa bila kujiongeza nitaachwa ngoja niwasiliane kijijini nimpate mtaalam arudishe penzi letu
Nipo hapa huna namba za mtaalam hapo kijijini kwenu kuna jambo nataka niliweke sawa
😉to yeye hizi avatar jamani
baadaye nakuja tukeshe
Enjoy[emoji444]
[emoji6]
🤣🤣🤣🤣🤣 mweeKabisa ongea nae huyu ananitafutia sababu tu
Simtaki kwa kweli nisijerogwa buresitaki mpelekee to yeye wako
🤣🤣🤣🤣 mnipumzishe jamani...,ndo tumetoka kukusema jamani[emoji23][emoji23] tamu ya x wangu[emoji1316][emoji1787][emoji1787]
Sikuhizi wanalindana mchana,kuibiwa mchezo🤣🤣Mmeanza lindo mapema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnipumzishe jamani...,
Sikuhizi wanalindana mchana,kuibiwa mchezo[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣madafu tena🥴9:24 PM pesa madafu
🤣🤣🤣🤣🤒utapumzika kaburin dada[emoji23][emoji23][emoji23] ila na huko tutakufuata ili uwe mzimu utukinge na watu wabaya[emoji1787][emoji1787] labda ususe
🤣🤣🤣moto unao aiseekabisaa mi sijakuepo siku moja tu ila nmekuta mambo vungulu vangati kwahiy mda wote tunatakiwa kuchungulia lindo[emoji847]
Njoo tunywe madafu🤣🤣madafu tena🥴
Hamna Cha kumpoteza, mbona ma black wengine wako poa.Aisee 🙌
Naona wanataka kumpoteza P.Diddy pia kama ilivyokuwa Kwa R. Kelly
Hayo mambo naona yanataka kuanza kushika Kasi na huku Bongo...nimeona Kuna wimbi la Wanawake kusema wamenyanyaswa na Waume zao Kwa kuingiliwa bila ridhaa zao.
Baada ya hapo Wanaume tunakula Mvua za miaka 30 Jela na kuwaacha wao wakiendelea kula Bata Mtaani 🙌
Babu yako nimeshamtumia hela ya kahawa hana shida huyojidanganye,, mie babu yang G kashamaliz kila kitu sirogeki nakwambia