JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aisee 🙌

Naona wanataka kumpoteza P.Diddy pia kama ilivyokuwa Kwa R. Kelly

Hayo mambo naona yanataka kuanza kushika Kasi na huku Bongo...nimeona Kuna wimbi la Wanawake kusema wamenyanyaswa na Waume zao Kwa kuingiliwa bila ridhaa zao.

Baada ya hapo Wanaume tunakula Mvua za miaka 30 Jela na kuwaacha wao wakiendelea kula Bata Mtaani 🙌
Hamna Cha kumpoteza, mbona ma black wengine wako poa.

Huyo human trafficking case ime mponza, Ina semekana ana uza watu na viungo pia.

Tetesi za kufanya MAUAJI zime mkost, sema kakimbia aisee, hela ime msaidia.

Maana asinge kuwa na private jet, au pia kumegewa taarifa ya kushikwa
 
Back
Top Bottom