Nipo good my love🙏🏽
Watu wamekula Wali humuJamanii kumbe mambo yalikua mswano samejaa
Mbona mapema sana madamMuwe na usiku mwema wapendwa
Kuna siku sitoonekana Kabisa broMbona mapema sana madam
[emoji1][emoji1]Kuna siku sitoonekana Kabisa bro
Kwanini cuteKuna siku sitoonekana Kabisa bro
Kuna paper najiandaa nalo kupiga next week....kuimaliza semester 1....nilijibweteka nashtukia siku zimeisha.Kwanini cute
Sawa student.. hela ya chips unayo lakini?Kuna paper najiandaa nalo kupiga next week....kuimaliza semester 1....nilijibweteka nashtukia siku zimeisha.
Ni kweli mkubwa, maana ukisha fika pale juu, utaanza kuwaza jinsi ya kuendelea kuji kuza.Ndiyo maana Kuna wakati sitamani utajiri
Utajiri unanafasi kubwa kukufanya uwe Muuaji, ufanye biashara haramu na wakati mwingine kukufanya uwe mbali zaidi na Mungu
Watu wengi waliofanikiwa kibiashara Wana dark side zao nyingi ambazo ukiwa mtu wa imani utatamani uendelee kuishi Kwa kipato cha kawaida tu
Natakiwa nipate laptop nichangieni bas🤓Sawa student.. hela ya chips unayo lakini?
Na sisi inabidi utuchangie 3some😎Natakiwa nipate laptop nichangieni bas🤓
Mnataka mniue 😳Na sisi inabidi utuchangie 3some😎
Mambo mengi ndugu, kichwa Cha juu huwa kina kuwa Moto sana.Unakulaje saa 10 mkuu
Sisi ni wazee hatuna maajabuMnataka mniue 😳
Hahaa, hv umesoma yule dada alieomba mchango wa kodi?Natakiwa nipate laptop nichangieni bas🤓
Mkuu ndo kumekucha sasa sio 😂😂😂😂Mambo mengi ndugu, kichwa Cha juu huwa kina kuwa Moto sana.
Una kuja kushituka Kuna kucha😂🤓
Mi naangalia shida kutatuliwa cute kudhalilishwa nilishaanza kudhalilishwa since wajue am singlemom.🤣🤣🤣Hahaa, hv umesoma yule dada alieomba mchango wa kodi?
Pamba tu humu utaishia kudhalilisha😂😂😂