JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ndiyo maana Kuna wakati sitamani utajiri

Utajiri unanafasi kubwa kukufanya uwe Muuaji, ufanye biashara haramu na wakati mwingine kukufanya uwe mbali zaidi na Mungu

Watu wengi waliofanikiwa kibiashara Wana dark side zao nyingi ambazo ukiwa mtu wa imani utatamani uendelee kuishi Kwa kipato cha kawaida tu
Ni kweli mkubwa, maana ukisha fika pale juu, utaanza kuwaza jinsi ya kuendelea kuji kuza.

Bado washindani wa kibiashara, hapa Kuna wema na Wabaya, hapa ndo janga linapo anzia.
Maana unaeza geuka ibilisi mdogo 🤓😂.

bado Kuna wale wazee wa kunusa mapato yako, lazima uwapoze ili ufukie baadhi ya mambo.

All In all, mi nitaona huko huko🤓
 
Back
Top Bottom