Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Pitia hpa kwanguNapita tu mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia hpa kwanguNapita tu mie
Tafadhali funguo usiwe unaondoka nayo,hiyo tabia uliyoanza ya kuondoka na funguo unapotelea kusikojulukana wiki mbili,ndiyo imekimbiza popo na bundi wengi hapa kijiweni [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nafunga geti
Usipite mamy, unahitajika hapa, plz kaa kaa nasi kwanzaNapita tu mie
Nzuri mdauHabari za sa iz wadau??
GoodgoodHabari zenu...
Nzuri kabisa,wazima nyie?Habari za sa iz wadau??
Habari zenu...
Hapana,hapa hakuna kulala mpaka kucheee....Mmelala nyote..
Dah! teacher sio mimi,ya kwangu ni masterTafadhali funguo usiwe unaondoka nayo,hiyo tabia uliyoanza ya kuondoka na funguo unapotelea kusikojulukana wiki mbili,ndiyo imekimbiza popo na bundi wengi hapa kijiweni [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndo nmekujaKuna mtu nimemfata naona leo hajaja huku. Sasa sijui atakuwa ameenda wapi.