Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss u zaidiiiiii...unatuacha sanaaaa wkt ww ndo sterling mwenyewInna,Inna,Inna,Inna....I miss yuuuuuuuu so much wasalimie wote huko vipi ney hajambo mwambei teacher wangy Thad darasa rasmi mwakani nipo maeneo fulani narekebisha kuweka mambo sawa.
Mtaje nkusaidieNafanya mchakato kumwalika Bro. mmoja maarufu sana humu ndani aje kwenye huu uzi siku ya mkesha,naomba aliye karibu nae anisaidie jamani.
Oyooo oyoooo oyoooooNi furahi day!!!!!!!!!!! Na get limefunguliwa
Jirani[emoji137]Napita tu mie
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaani mapema yote hii popo na bundi wote chali....hivi kweli mtauona mwaka mpya namna hii? [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Safi sana mkuu habari za kupambana na girisiHabari za sa iz wadau??
Level kabisa mkuuHabari zenu...
Nimeamka sasa hiviMmelala nyote..
Bado upo macho?Hapana,hapa hakuna kulala mpaka kucheee....
Maahaba..nzuri tuu shikamoo
Teh teeeh umefunga geti sa ngap mbona badooo...yule ni kaka angu tena ile mida yetu anakwepogo ngoja nmwiteDah! Inna geti lishafungwa umeamua kupiga soga nje ya geti,mtafute basi yule broo. mwenye mada za kichawichawi aje hapa kama mgeni rasmi.
Ameenda kutafuta girisiKuna mtu nimemfata naona leo hajaja huku. Sasa sijui atakuwa ameenda wapi.
SawaNdo nmekuja
Huyo Instagram ni ndugu yake na Kilogram?Rafik angu instargrm ata sipajui
Haha hana shida kabisa...kam hujamchokoza hawezi kukufanyia kituDah! itakuwa poa sana mi namkubali ila namuogopa balaaa!