JamiiForums Usiku wa manane

Yupo jukwaa la siasa kule....
Ametulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama sio yeye.....
Ila sasa ww unawaza kumtibua ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenzako yule kuna mda zina restart ujue eeeh
🀣🀣🀣🀣 Ana baby wake mpya anamtia wazimu kila muda anamtag, wizo penzi limemlevya
 
🀣🀣🀣🀣 Ana baby wake mpya anamtia wazimu kila muda anamtag, wizo penzi limemlevya
Wizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe yupo kwa penzi jipya ...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Kweli duniani kuna mambo..
Kapata wa kufanana nae sasa au. Bora liende πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe yupo kwa penzi jipya ...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Kweli duniani kuna mambo..
Kapata wa kufanana nae sasa au. Bora liende πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu wizo ndio alimpa intel jina la mabakuli ujue 🀣🀣🀣🀣
 
Usimfungie sana ila usimsogelee karibu atakutafuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawa dada angu hautoniskia teinaaaa[emoji2294] nikirudia bora umuite shem aje anisemee maaan na yeye anamaneno mazito[emoji38][emoji38] sitamani kupishana nae kweny engo mbayaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe hapo bado wizo ajafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada lazima akufundishe [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

nafata ushauri wa dada[emoji81][emoji81][emoji81] sitakiwi kukusogelea qabisaaaaaa[emoji1551][emoji1551][emoji1551]
 
Usijali yameisha mdogo angu πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’‹πŸ’‹
 
nimeogopa sana, mmejibishana very polite halafu sisi unatuona unatumudu
Mnyakyusa mwenzangu huyo..sijui kwanini katika wengi yeye mmoja wapo niliyechagua kumweshimu.But no worry kama kuna sehemu umeona nimepunguka na sijawatendea haki I swear hutoona hiyo shida tena.I jst respect you allπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…