JamiiForums Usiku wa manane

ahsante kwa compliment, na appreciate sana
 
Kazi tunao akina sisi tunaorudia nguoπŸ˜‚ Fake P yeye gari harudii, Ee mola tujalie wana wako tuwe na angalau robo ya maisha kama ya Fake P

Sema AMEEN!!
Ameen πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Sasa mkuu unazani kwanini anasema mimi niende..
Ukute kuna ajira kule eeeeh mana ni kama bahati hii
 
Sio ukute, ajira zipo na mshahara unapewa kabla hata ya kuanza kazi.
Mmmh πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Aiseee katika kitu tashukuru ni hiki
Mkuu Fake P kama kuna sehemu kwenye kuongea kwetu niliteleza kukutolea maneno machafu naomba nisehe mkuu...
Sikujua kabisa wadhifu wako πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Half american kweli najuta kuzarau mtu aiseee ona sasa now nimeitwa na tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…