JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

tulia dawa ikuingie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mara ya mwisho mimi nilitoa dawa nikajikuta nna ban ya mwezi mzima
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Mnyakyusa mwenzangu huyo..sijui kwanini katika wengi yeye mmoja wapo niliyechagua kumweshimu.But no worry kama kuna sehemu umeona nimepunguka na sijawatendea haki I swear hutoona hiyo shida tena.I jst respect you allπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
ahsante kwa compliment, na appreciate sana
 
Kazi tunao akina sisi tunaorudia nguoπŸ˜‚ Fake P yeye gari harudii, Ee mola tujalie wana wako tuwe na angalau robo ya maisha kama ya Fake P

Sema AMEEN!!
Ameen πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Sasa mkuu unazani kwanini anasema mimi niende..
Ukute kuna ajira kule eeeeh mana ni kama bahati hii
 
Sio ukute, ajira zipo na mshahara unapewa kabla hata ya kuanza kazi.
Mmmh πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Aiseee katika kitu tashukuru ni hiki
Mkuu Fake P kama kuna sehemu kwenye kuongea kwetu niliteleza kukutolea maneno machafu naomba nisehe mkuu...
Sikujua kabisa wadhifu wako πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Half american kweli najuta kuzarau mtu aiseee ona sasa now nimeitwa na tajiri
 
Back
Top Bottom