Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
JichanganyeNUSu albinoooooo, big pundamilia 🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JichanganyeNUSu albinoooooo, big pundamilia 🤓
😂Aikooo! Tajiri, ee mmm, eee, eee kwamba hili name likiwa full linakaukakasi halisaundi vizuri. management inashauri lifanyiwe modification
Atapigika mtu muda sio mrefuHuyo tumwite nusu albinoo 🤓, ndio huwa ana tamani kulia😂
Tuta muita nusu albinnn 😂😆Aikooo! Tajiri, ee mmm, eee, eee kwamba hili name likiwa full linakaukakasi halisaundi vizuri. management inashauri lifanyiwe modification
Weee pimbi tu😂😆🤣Jichanganye
00:01Siku hizi mnamakelele sana wallah tukivamiwa tutakatishwa viuno wote 😂😂😂
kama namuona sameja na vin pamoja na half american
Yu nasi katika nyakati na wakati wote.Mungu ni mwema sana
AmenYu nasi katika nyakati na wakati wote.
Hamna ilikuwa zamani, kwa Sasa nasinzia hata masaa 2-3 hapo.Mtu mbadi karudiii mzee wa 24/7😃😃😃😃 najua wale waloshikilia kwa muda sasa wameachia nafasi
Yeah sahihi..,mapenzi yana nguvu bro....ila atarudi tu kwenye mstari...soon as possible 😉Kutana na @Shadow7 Huyu mzee alikuwa kamanda Safi, ila toka ampate @To yeye ame Baki kulala Kama mbuzi wa kafara tu.
aisee na mna sifiana kabisa, akati mna vunja sheria za lindo🤣Yeah sahihi..,mapenzi yana nguvu bro....ila atarudi tu kwenye mstari...soon as possible 😉
Sheria ya lindo haijasema tuwe mabubu mkuu...we are free to talk ilimradi hatutukani mtu✌️aisee na mna sifiana kabisa, akati mna vunja sheria za lindo🤣