Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
MTaje kama sheria inaruhusuKaka nina Roho ngumu kuliko kawaida, ni vile napendaga privacy tu.
Ila Kuna mtu Humu ana jua ukauzu wangu😂🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MTaje kama sheria inaruhusuKaka nina Roho ngumu kuliko kawaida, ni vile napendaga privacy tu.
Ila Kuna mtu Humu ana jua ukauzu wangu😂🤣
Hamna Nita mkosea na itakuwa nime vunja sheria yetu ya confidentiality.MTaje kama sheria inaruhusu
Kwanini nitoe maelezo marefu then wewe uchukue neno moja mkuu? Any agenda?Umesema sheria za kijiji haziruhusu kutukana. Nkauliza kama nan huwa anatukana?
😳aiseeMTaje kama sheria inaruhusu
Jamani mi siko jaribu na Sio kabila Hilo😂🤣, serious mi Nina roho kavu sometimes.mwenyekiti Una uhaya kwa mbaaali eeh? au wewe ni nshomile
Kwema?😳aisee
Na ameshikilia kipengele kweri kweri😃😃😃😃Kwanini nitoe maelezo marefu then wewe uchukue neno moja mkuu? Any agenda?
NAdhani mambo yashakuwa sawa sasa muda wa kuingia kile chumba cha upasuaji mfu umefika..niwatakie kaz njema nkmaliza narudi. We nishikie vi🐇🐇 vilivyobaki😳aisee
Nimeona na comment ya intellig amepita nayo pia🧐Na ameshikilia kipengele kweri kweri😃😃😃😃
🤣🤣🤣🙌🏿NAdhani mambo yashakuwa sawa sasa muda wa kuingia kile chumba cha upasuaji mfu umefika..niwatakie kaz njema nkmaliza narudi. We nishikie vi🐇🐇 vilivyobaki
MmNani ana novels hard copy Humu??
Gud dear, naona namuonaSalama cute ila nimegundua bro Uchira 1 ana kaukorofi kidogo 😂😂🙌🏿......anafukunyua🥴
Nko poa chawa wa anglo German war😝habitually, Uko poa mrembo?