Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
JichanganyeNUSu albinoooooo, big pundamilia π€
πAikooo! Tajiri, ee mmm, eee, eee kwamba hili name likiwa full linakaukakasi halisaundi vizuri. management inashauri lifanyiwe modification
Atapigika mtu muda sio mrefuHuyo tumwite nusu albinoo π€, ndio huwa ana tamani kuliaπ
Tuta muita nusu albinnn ππAikooo! Tajiri, ee mmm, eee, eee kwamba hili name likiwa full linakaukakasi halisaundi vizuri. management inashauri lifanyiwe modification
Weee pimbi tuπππ€£Jichanganye
00:01Siku hizi mnamakelele sana wallah tukivamiwa tutakatishwa viuno wote πππ
kama namuona sameja na vin pamoja na half american
Yu nasi katika nyakati na wakati wote.Mungu ni mwema sana
AmenYu nasi katika nyakati na wakati wote.
Hamna ilikuwa zamani, kwa Sasa nasinzia hata masaa 2-3 hapo.Mtu mbadi karudiii mzee wa 24/7ππππ najua wale waloshikilia kwa muda sasa wameachia nafasi
Yeah sahihi..,mapenzi yana nguvu bro....ila atarudi tu kwenye mstari...soon as possible πKutana na @Shadow7 Huyu mzee alikuwa kamanda Safi, ila toka ampate @To yeye ame Baki kulala Kama mbuzi wa kafara tu.
aisee na mna sifiana kabisa, akati mna vunja sheria za lindoπ€£Yeah sahihi..,mapenzi yana nguvu bro....ila atarudi tu kwenye mstari...soon as possible π
Sheria ya lindo haijasema tuwe mabubu mkuu...we are free to talk ilimradi hatutukani mtuβοΈaisee na mna sifiana kabisa, akati mna vunja sheria za lindoπ€£