Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
What do you mean?Mavuno ya mwenzio, yasi kufanye ule mbegu zako.
Hapana , Mimi sifuatiliagi cartoon vp Kali ?mshamba_hachekwi, Selikavu, adriz cartoon ya spies in disguise umesha iona??
View attachment 2958305
Nimeicheki Kakaπmshamba_hachekwi, Selikavu, adriz cartoon ya spies in disguise umesha iona??
View attachment 2958305
Nzuri kakaHapana , Mimi sifuatiliagi cartoon vp Kali ?
Walete walete walete mkuuOh sawa mkuu. Soon nakuletea viπππππ ugawane na Half american
We endelea kuyakanyagaWeee pimbi tuπππ€£
Ni bora Wazee tumezeeka sasa, vinginevyo tungekuwa tunapigana vikumbo na Vijana wa hovyo humu Kila Siku ππ π€Babu yao
Babu wa mchongoπ€£π€£
Kula maisha
Mtuvumilie kidogo tupo kwenye mchakato wa kuijaza duniaNiite kamanda wa lindo, toka niingie lindoni magodoro huwa tuna yachoma moto kabisa.
Maana uki loweka maji, Kuna vijana walio shindikana Kama kina Mad Max na Uchira 1 wata sinzia tu.
Kutana na Shadow7 Huyu mzee alikuwa kamanda Safi, ila toka ampate To yeye ame Baki kulala Kama mbuzi wa kafara tu.
Kuna hiki kimanta financial services mdada Mali Safi kabisa, ila shida ana koroma Kama chura π.
Kuna haka ka shangazi uchwara Fake P, kana jikuta kagumu, kumbe pisi kali lainiπ€£.
Kuna wezi wenzangu kina miyeyusho stow away, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chabo Poor Brain,
Kuna Hawa absentees wa kimataifa kina fyddell, MastaKiraka,
Bila kumsahau nusu albinoo Half american, and everyone else.
I mean no Malice to nobody
πSiwezi kukuacha sio kwa raha hizo ninazopewa