Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Naenda sayari nyingine nyie mayoung hamniweziUbaebda wapi kubwa la manusu๐๐
Yupi huyoShemeji yako hayupo, ange kuwepo unge pasuka kubwa la manusu ๐๐
Ndio mi sinaga shida na mtuKwa heri/amani?
Situmiagi hvyoTUlia ngoja nikupunguzie mwamala ili umwache. Au malizia vile vi๐๐ nlivyokuletea
Basi na iwe heriNdio mi sinaga shida na mtu
Hakuna wa kushindana na wewe kubwa la manusu๐๐Naenda sayari nyingine nyie mayoung hamniwezi
Una acha jf au??Ndio mi sinaga shida na mtu
Mbona jana ukasema nivileteeeee na nkaleta vingi tuuuu. Dah nishakula hasara maana na Intelligent businessman nae hatumiiSitumiagi hvyo
Amen shekheBasi na iwe heri
Mpe To yeyeMbona jana ukasema nivileteeeee na nkaleta vingi tuuuu. Dah nishakula hasara maana na Intelligent businessman nae hatumii
Oya nime mkumbuka rafiki angu, sema acha vipite ๐Yupi huyo
Naenda kuwa staff wa jf ๐Una acha jf au??
Basi sawa baadae akiamka nitampatia
Zunu?Oya nime mkumbuka rafiki angu, sema acha vipite ๐
Mpe visungura hivyo ๐Basi sawa baadae akiamka nitampatia
Oya nime mkumbuka rafiki angu, sema acha vipite ๐Yupi huyo
Zuchulade๐Oya nime mkumbuka rafiki angu, sema acha vipite ๐
๐ nmuiteEhh๐ค
ahhh jinga ๐๐Zuchulade๐
Ntamuita hapa ukimbie ๐ahhh jinga ๐๐