Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
You know how I like it, when you lovin meπ€πGod's plan Boss
2 days mkuu,hizi holiday ni siku ngapi wakuu, nisije kuyakanyaga
Wewe sasa ndo wa pwani pureeeeendio nipo nao unautaka?
Wee nunua Nazi ya pakti, au wakune siku hizi Kuna mashine Bei ni 100 tu.Acha hzo nanjiii boy bana πππππ
oooh! this i how intelligent businessman portrayedYou know how I like it, when you lovin meπ€π
Naomba AthletiCo Madrid ashinde, kwa Barca na psg wauane tuππ€£Sana ball la nguvu, tusubiri na mechi za kesho.
mimi mkurya tata mtu wa nchiniπππWewe sasa ndo wa pwani pureeeee
Kama hii umeelewa πππππππππππ
Forever we mean no malice to nobodyoooh! this i how intelligent businessman portrayed
tukaribie wapi? unajua ndo mana huaminiki πππKaribuni kwenye sikukuu, tukutane kwenye ibada
Afadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis πππ2 days mkuu,
Wewe jilipue tuπ€£Afadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis πππ
Nime waza pia hako ka kitongaππ€£, sema kwenye makarai hamna kazi ngumu ujue!πAfadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis πππ
Asante sana mzee wa No malice........Karibuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Pamoja Kaka, I mean no Malice to nobodyAsante sana mzee wa No malice........
Tukutane kwenye ibada tu, baada ya hapo kila mmoja apotee kivyaketukaribie wapi? unajua ndo mana huaminiki πππ
ulisikia wapi watumishi wa umma wanalalama ugumu wa kazi?πππNime waza pia hako ka kitongaππ€£, sema kwenye makarai hamna kazi ngumu ujue!π
Lakini makarai si private sector??ulisikia wapi watumishi wa umma wanalalama ugumu wa kazi?πππ