watanilipua na mimi weeWewe jilipue tuπ€£
wabeba makarai ni wagavi na manunuzi unasiku ngapi hapa mjini BossLakini makarai si private sector??
Dah sisi tuna juaga wabeba makarai ni wazee wa dhahabu π€wabeba makarai ni wagavi na manunuzi unasiku ngapi hapa mjini Boss
Nakujua nasikia ni mpare kufa kufaTukutane kwenye ibada tu, baada ya hapo kila mmoja apotee kivyake
hakuna aliye Opt Business chuo asijue utani wa wagavi na wahasibuDah sisi tuna juaga wabeba makarai ni wazee wa dhahabu π€
Huyo ubahili ana igiza, Mimi ndo raisi wa Chama Cha wanaume bahili tzπNakujua nasikia ni mpare kufa kufa
sasa sie wengine hata shule hatuja enda mkuuπhakuna aliye Opt Business chuo asijue utani wa wagavi na wahasibu
Daaah kwahiyo kazi ya hiki kibao cha mbuzi hapa ghetto kitakua na kazi gani mkuuWee nunua Nazi ya pakti, au wakune siku hizi Kuna mashine Bei ni 100 tu.
Masuala ya kuanza kupinda kiuno, Sio mazuri kabiSaππ€£ Poor Brain
Usijielezee sana Boss sifa zako zilikutangulia tayari tunazoHuyo ubahili ana igiza, Mimi ndo raisi wa Chama Cha wanaume bahili tzπ
Wanakula ugali kwa picha ya samaki π; imekuja vibaya hii sikukuu kwa kushtukiza ..Nakujua nasikia ni mpare kufa kufa
Aisee mme zitoa wapi Sasa π€Usijielezee sana Boss sifa zako zilikutangulia tayari tunazo
Sikukuu imekuja bila hodi, tulijua alhamisi tujipange π πHuyo ubahili ana igiza, Mimi ndo raisi wa Chama Cha wanaume bahili tzπ
Kigawe kwa bimkubwa nyumbani, hio mchezo wa kukuna Nazi uta Anza kubinuka kidogoππ€£Daaah kwahiyo kazi ya hiki kibao cha mbuzi hapa ghetto kitakua na kazi gani mkuu
Upo umeujulia wapi wewe ...mimi mkurya tata mtu wa nchiniπππ
Imekuja ghafula sanaWanakula ugali kwa picha ya samaki π; imekuja vibaya hii sikukuu kwa kushtukiza ..
Duuuh ngoja nifanye hivo mkuu..Kigawe kwa bimkubwa nyumbani, hio mchezo wa kukuna Nazi uta Anza kubinuka kidogoππ€£
kule ulipo zimwagaAisee mme zitoa wapi Sasa π€
SI una onaga wadada mashauzi, wanavyo panda bodaππ€£Duuuh ngoja nifanye hivo mkuu..
πππππππ€π€π€π€π€
Wapi tena??, nili mwaga nini πkule ulipo zimwaga