Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Acha basi ππππSI una onaga wadada mashauzi, wanavyo panda bodaππ€£
Muhimu uzima upo, tutapambana nayo hivyo hivyoImekuja ghafula sana
Endelea na lindo kijanaWapi tena??, nili mwaga nini π
We endelea tuπ€£π, Kuhusu pilau Kuna sehemu nime ki tag π€Acha basi ππππ
Tushamaliza hii mada
Iddi tunakula wapi mkuu
Haya ndo masuala Siya pendagiππ€£, Eti nikwambie kitu halafu, au basi π€£Endelea na lindo kijana
00:41
Mm sikumbuki nilikuna Nazi lini mashine zipo Bei rahis kukuna sokoni
Ambia hicho kivulana ki Poor Brain, kitakuwa Kama mgomba ulivyo pindaππ€£Mm sikumbuki nilikuna Nazi lini mashine zipo Bei rahis kukuna sokoni
Nipe locationKaribuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Manyanza, Aaliyyah, Nuzulati, Half american, Poor Brain, Fake P, fundi bishoo, Poor Brain, Selikavu, adriz
Curiosity will kill u, expect nothing buddyHaya ndo masuala Siya pendagiππ€£, Eti nikwambie kitu halafu, au basi π€£
Sasa utakula nini Eid hii? Mwambie Fake P akualike ukashindwe kula na kunywa kama wayahudi wakati ule.Ndugu yako bado napiga miayo π
Njema, vp kwako?Habari yako?
PoaNjema, vp kwako?
kanzu nimesha azima π, navizia nizunguke harufu ya pilau unapo tokeaπ€Sasa utakula nini Eid hii? Mwambie Fake P akualike ukashindwe kula na kunywa kama wayahudi wakati ule.