JamiiForums Usiku wa manane

Sija lalamika, coz Mimi ni Mlinzi ieshinla mtu 1.
Hata me naonaπŸ˜‚πŸ˜‚
Mjep, Kichwa Kichafu, Mad Max, Shadow7 yaani hata KU like mme ingia Chaka πŸ˜†πŸ˜πŸ˜

Madame B amka bhana 😁😁

Aisee ko lindoni Niko mwenyewe, Uchira 1, sema kitu??😁

Huyu pimbi Lethergo ana koroma ka chura kabisa πŸ˜πŸ˜†
 
Mlinzi Bora wa Muda wote, nime funga lindo πŸ€“πŸ€’
Walinzi Mnao wasifia ni nani na nani, mbona sioni??!πŸ˜πŸ€“.
Kuni linganisha ni utani bro, coz vichwa vyao vina maji ka wame beba ndooπŸ€“πŸ˜πŸ˜
tafuteni kote, ila kauli yangu ita jirudia, nilisha sema hakuna mlinzi Kama Mimi.
mleteni yoyote mnae mwaminiaπŸ€“πŸ€“πŸ˜πŸ˜
Selikavu ona SasaπŸ˜„πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…