JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sija lalamika, coz Mimi ni Mlinzi ieshinla mtu 1.
Hata me naona😂😂
Mjep, Kichwa Kichafu, Mad Max, Shadow7 yaani hata KU like mme ingia Chaka 😆😁😁

Madame B amka bhana 😁😁

Aisee ko lindoni Niko mwenyewe, Uchira 1, sema kitu??😁

Huyu pimbi Lethergo ana koroma ka chura kabisa 😁😆
 
Mlinzi Bora wa Muda wote, nime funga lindo 🤓🤒
Walinzi Mnao wasifia ni nani na nani, mbona sioni??!😁🤓.
Kuni linganisha ni utani bro, coz vichwa vyao vina maji ka wame beba ndoo🤓😁😁
tafuteni kote, ila kauli yangu ita jirudia, nilisha sema hakuna mlinzi Kama Mimi.
mleteni yoyote mnae mwaminia🤓🤓😁😁
Selikavu ona Sasa😄😂🤣
 
Back
Top Bottom