Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Sipendi mwanga man.Umewaza nini chief
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi mwanga man.Umewaza nini chief
Kaka hapo sio kulalamika, mbona huja leta zile za ku diss Walinzi wengine waoga 😂😂😂Hata me naona😂😂
Me nimeziona hiziKaka hapo sio kulalamika, mbona huja leta zile za ku diss Walinzi wengine waoga 😂😂😂
Mlinzi Bora wa Muda wote, nime funga lindo 🤓🤒
Walinzi Mnao wasifia ni nani na nani, mbona sioni??!😁🤓.
Kuni linganisha ni utani bro, coz vichwa vyao vina maji ka wame beba ndoo🤓😁😁
Selikavu ona Sasa😄😂🤣tafuteni kote, ila kauli yangu ita jirudia, nilisha sema hakuna mlinzi Kama Mimi.
mleteni yoyote mnae mwaminia🤓🤓😁😁
Sawa- shangazi , a.k.a mtu mbadi😂😃Leo nitafute mapema.
Nitakuwa lindo.
😂😁😁😁😂😂😂Kaka mkamwacha Intelligent businessman kalalamika usiku kucha🤣