JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kichwa Kichafu
Wewe sio tena kichwa kichafu wewe ni smart aiseeee .
Nimechungulia kule kumbe watu intelligence bado mpo bongo hapa
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mwanangu Umetisha Sana Naona Umeshusha Nondo Kule Uliponi-tag.

Now Nimefanya Skimming Kesho Nitatulia Kusoma Zile Nondo.

Shukrani Sana Kwa Kuni-tag Nasema Wewe Jamaa Ni Nyoko.
 
Mwanangu Umetisha Sana Naona Umeshusha Nondo Kule Uliponi-tag.

Now Nimefanya Skimming Kesho Nitatulia Kusoma Zile Nondo.

Shukrani Sana Kwa Kuni-tag Nasema Wewe Jamaa Ni Nyoko.
Mii ni umbwa pia kaka 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Namkubali sana hii jamaa inajiita dizasta vina..
🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mii ni umbwa pia kaka 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Namkubali sana hii jamaa inajiita dizasta vina..
🙌🙌🙌🙌🙌
Pamoja Sana Brother 🙌🙌🙌

Tena Kwenye Tribulation Mule Dizasta Vina Ameibaka Beat Hadi Vina.

Na Mule Kuna Maneno Na Vocabulary Nyingi Zinazohitaji Dictionary Ya Kuichambua Hip/Hop
 
Back
Top Bottom