wakishua ltd.Nayamisi sana makande ila nikila tumbo linauma vidonda vya tumbo vinanitesa sana 😭
No nayapenda sana ila nikila tumbo linauma sana yaani zamani nilikuwa napenda sana makande nilivyoumwa now imekuwa kasheshe kuyala 😭wakishua ltd.
Ni matamu sana yaaniSiku wai kuyapenda kiukweli, Yalinitesa sana shuleni nikapigana nayo vita, kumbe bado safari ilikua ndefu nikayakuta tena kwa jirani zetu wanaita githeli sijui 😂😂😂😂🤣 nikakubali yote
Hujakutana na njugu mawe zetu bado, daslama malezi hakunaNo nayapenda sana ila nikila tumbo linauma sana yaani zamani nilikuwa napenda sana makande nilivyoumwa now imekuwa kasheshe kuyala 😭
Tunatoa mteru 🤣🤣🤣🤣Walinzi msilale