Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe pia mkuuMuwe na siku njema
Dizasta Vina Amechanganya Chanyanga Mitindo Ya Ku-flow Maana Rapcha Alisema Dizasta Vina Anastyle Moja Ya Ku-flowKichwa Kichafu
Kuna sehemu hapa kwa Tribulation
03:53.
Kama anaongea na ile radio call anasema
Who told you to come aboard? Over
Mission compromise abort?Over
Corporal you not alone and you don't grow, over
Go Master your bets couse you don't flow proper
Hapa skuelewa lengo ka kuweka hii sytle
Saaafiiii sana aiseeee kwa ishu ya hiyo style nimeikubali..Dizasta Vina Amechanganya Chanyanga Mitindo Ya Ku-flow Maana Rapcha Alisema Dizasta Vina Anastyle Moja Ya Ku-flow
Who told you to come aboard? Over
Mission compromise abort?Over
HApo Dizasta Vina Anamchana Rapcha Kama Ambavyo Pilot Wa Ndege Za Kivita Akimuuliza Nani Aliyemwambia Aende Kwenye Hiyo Mission (Battle Ya Kumdiss Dizasta).
Anamwambia Hiyo Mission Aachane(Abort) Nayo Maana Imekwisha Haribika(Compromised).
Corporal you not alone and you don't grow, over
Rapcha Anaambiwa Hayupo Pekee Yake Na Hivyo Inasababisha Kudumaa.
Go Master your bets couse you don't flow proper
Anamwambia Aende Akarekebishe Flow Zake Maana Anachana Hovyo.
Kichwa kilikuwa site Jana mzee,😂😁, hata KU type niliona acha ipiteHakuna matata
Cc Intelligent businessman
Kukaa lindo siku 1 , ushaona ume kaa miaka 10 ehh😂😁Vijana mmelala wazee ndo tupo lindo
Jana nilishinda mwenyewe humuKukaa lindo siku 1 , ushaona ume kaa miaka 10 ehh😂😁
Aisee zee liongo wee, Kuna muda nili chungulia sikukuona 🤣😂Jana nilishinda mwenyewe humu
Nilikuepo Sema JF kubwaAisee zee liongo wee, Kuna muda nili chungulia sikukuona 🤣😂
Hahaha, zee liongo, at first si ulisema uli shinda mwenyewe 😂 🤣Nilikuepo Sema JF kubwa
Manka umeshiba makande tayari, nimeyamiss sana 😂😂🤣
Habari za jioni rafiki yangu
Nmeyala kweli leo mchanaManka umeshiba makande tayari, nimeyamiss sana 😂😂🤣
Safi rafiki karibu lindoniHabari za jioni rafiki yangu
Nayamisi sana makande ila nikila tumbo linauma vidonda vya tumbo vinanitesa sana 😭Manka umeshiba makande tayari, nimeyamiss sana 😂😂🤣
Asante sana nibakishie makande puliziiii 😋Safi rafiki karibu lindoni
Siku wai kuyapenda kiukweli, Yalinitesa sana shuleni nikapigana nayo vita, kumbe bado safari ilikua ndefu nikayakuta tena kwa jirani zetu wanaita githeli sijui 😂😂😂😂🤣 nikakubali yoteNmeyala kweli leo mchana