JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kichwa Kichafu
Kuna sehemu hapa kwa Tribulation
03:53.

Kama anaongea na ile radio call anasema
Who told you to come aboard? Over
Mission compromise abort?Over
Corporal you not alone and you don't grow, over
Go Master your bets couse you don't flow proper

Hapa skuelewa lengo ka kuweka hii sytle
Dizasta Vina Amechanganya Chanyanga Mitindo Ya Ku-flow Maana Rapcha Alisema Dizasta Vina Anastyle Moja Ya Ku-flow

Who told you to come aboard? Over
Mission compromise abort?Over

HApo Dizasta Vina Anamchana Rapcha Kama Ambavyo Pilot Wa Ndege Za Kivita Akimuuliza Nani Aliyemwambia Aende Kwenye Hiyo Mission (Battle Ya Kumdiss Dizasta).

Anamwambia Hiyo Mission Aachane(Abort) Nayo Maana Imekwisha Haribika(Compromised).

Corporal you not alone and you don't grow, over
Rapcha Anaambiwa Hayupo Pekee Yake Na Hivyo Inasababisha Kudumaa.

Go Master your bets couse you don't flow proper

Anamwambia Aende Akarekebishe Flow Zake Maana Anachana Hovyo.
 
Saaafiiii sana aiseeee kwa ishu ya hiyo style nimeikubali..
 
Back
Top Bottom