Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
wakishua ltd.Nayamisi sana makande ila nikila tumbo linauma vidonda vya tumbo vinanitesa sana ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakishua ltd.Nayamisi sana makande ila nikila tumbo linauma vidonda vya tumbo vinanitesa sana ðŸ˜
No nayapenda sana ila nikila tumbo linauma sana yaani zamani nilikuwa napenda sana makande nilivyoumwa now imekuwa kasheshe kuyala ðŸ˜wakishua ltd.
Ni matamu sana yaaniSiku wai kuyapenda kiukweli, Yalinitesa sana shuleni nikapigana nayo vita, kumbe bado safari ilikua ndefu nikayakuta tena kwa jirani zetu wanaita githeli sijui 😂😂😂😂🤣 nikakubali yote
Hujakutana na njugu mawe zetu bado, daslama malezi hakunaNo nayapenda sana ila nikila tumbo linauma sana yaani zamani nilikuwa napenda sana makande nilivyoumwa now imekuwa kasheshe kuyala ðŸ˜
Tunatoa mteru 🤣🤣🤣🤣Walinzi msilale