Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
aisee mwana unga limited SI alikuwa mwanao kabisa?? π€π1:35 AM Mwanamke haipendezi ukawa na tabia hizi
1.mwizi /Tapeli
2.mjuaji yaani hakuna kitu usichokijua...
3.kutembea na mabwana za watu.
4.unafiki, Gubu,.kutukana hovyo, kujichubua....!.
Salama mkuu za kwako kekueMkuu umeamkajeπ
Njema pia sanaSalama mkuu za kwako kekue
Kwa nini hunenepiπNjema pia sana
Ameanza tena msamiatiπππ sisi si manabii wa kutafsiri,Huu ni uwoga hebu mtagi, sisi sio waganga wa jadi wa ramli πππ
Nna utapiamloKwa nini hunenepiπ
Nina dozi ya kunenepeshaNna utapiamlo
Ni nani huyo kaka ππ€£πaisee mwana unga limited SI alikuwa mwanao kabisa?? π€π
Kijana niache sitaki bifu na mtuππ,Ni nani huyo kaka ππ€£π
Kaka mvua hiii kaka huku kigamboni inapiga sanaKijana niache sitaki bifu na mtuππ,
Sisi ili nyesha kuanzia jana saa 1 usiku, saa 9 ili kuwepo.Kaka mvua hiii kaka huku kigamboni inapiga sana
Unaenda kula mbuzi na pilau hongera kakaSisi ili nyesha kuanzia jana saa 1 usiku, saa 9 ili kuwepo.
Ilivyo pungua Nika wahi stendi, kuelekea home coz nina mualikoπ
Matembele na nyanya chungu kijana , π π€£, Sema uko mbali, unge jongea tusumbue menoπUnaenda kula mbuzi na pilau hongera kaka
Weraweraπ₯Afande whowherewhen? wote tunalinda mageti humu kazi ya shemejiyo manka πππ
ππππππ yamekufikia sasaWeraweraπ₯
Uko poaππππππ yamekufikia sasa