JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Safari za asubui saa 10 usiku ni Raha sana, nime fika saa 1 asubui.

wakuu aliye karibu na Baadae aje tupate kinywaji na kupiga story 2-3 Hapa Swahili food.

USI jali confidential muhimu, acha niende kwanza nyumbani.
Maana dogo langu hakawii kuni fata na boda ani pige😁😆
 
Back
Top Bottom